Emmanuela Yogolelo

Swahili Blog

Na EMMANUELA YOGOLELO Je! Umewahi kujiuliza kama nilikuwa nafanya nini kabla ya covid-19 kulazimisha watu kubaki nyumbani? Acha basi nikwambiye! Karibu miezi miwili kabla covid kutulazimisha sote kubaki nyumbani na

Na Emmanuela Yogolelo Jinsi tunasemaka kwa Kiswahili ya kwetu Kivu (mashariki mwa DR Kongo) ‘leo njo leo’, basi, leo na njoo ile siku tulingozeya. Ushirikiyano wangu na Jaydev umemalizika, na

Na Emmanuela Yogolelo Mbele ya kugawanya, mimi na nyinyi, muziki wa Afro-Raga ambao Jaydev na mimi tumeunda, basi fateni maelezo kuusu muziki wa Kiafrika. Muziki wa Kiafrika ni shirikisho. Kawaida

Na Emmanuela Yogolelo Je! Umewahi kugundua kitu chochote kingine kuhusu muziki badala ya muziki kuwa sauti hizi za kupendeza na sauti nzuri? Mimi nimegunduwa tayari. Wewe pia? Basi kama umekwishakugunduwa, utujulishe

Na Emmanuela Yogolelo Kama mwandishi wa wimbo wa waimbaji anayesimamia wimbo wa kitamaduni wa Kiafrika, nilijiuliza ni aina gani ya nyimbo nitatoa kama ningepata nafasi ya kufanya kazi na mila