Emmanuela Yogolelo

Wakati Mila ya Muziki wa Kiafrika na wa India zinakutana. Sehemu ya Tatu.

Na Emmanuela Yogolelo

Mbele ya kugawanya, mimi na nyinyi, muziki wa Afro-Raga ambao Jaydev na mimi tumeunda, basi fateni maelezo kuusu muziki wa Kiafrika.

Muziki wa Kiafrika ni shirikisho. Kawaida ya wa Afrika, mtu yeyote (akitaka) anaweza kujiunga na wana muziki wakati wa performance, akuwe anajuwa muziki wala sivyo. Angaliya kwa mufano kwenye sherehe au tafrija, Waafrika hunyakua kila kitu kilicho karibu nao, pamoja na uma, glasi au sahani na kuanza kucheza. Wengine ujiunga nao kwa kupiga vigelegele, kucheza, na kuimba sehemu za nyimbo.

Ingawa muziki barani Afrika ina kuwa shirikisho, katika sehemu zingine, imeonekana kama ni watu fulani fulani tu kama vile wanaume tu, wala watu wazima uweza kufanya muziki.
Piya, katika sehemu zingine, kila mtu anaweza kuwa kuimba lakini kuusu kupiga vigelegele ni wanawake tu uipiga.

Kwa upande wa vyombo vya muziki, inayotawala ni mitizamo, sana vifaa vya ngoma.
Wakati djembe ni ngoma ya Afrika Magharibi, tunakuwa na namna zingine za ngoma katika mkoa wa kati wa Afrika.
Umuhimu wa ngoma katika muziki wa Kiafrika ni kubwa sana hadi vyombo vingine vinachezwa kama  mitizamo, kwa mfano bassi ya Kongo.

Mitizamo zinaeleweka kwa namna nyingi, kuna mtazamo wa mwili kama vile kupiga mikono na miguu. Mitazamo nyingine wazivaa kama ni fashioni.

Sauti zingine za Kiafrika zinaitwa ‘polphonic’ na vyombo ‘polyphythmic, lakini kwa Waafrika, hizi ni ‘ensembles’ tu.

Wakati mwingi, kuimba barani Afrika kunajumuisha simu na majibu.

Mwanamuziki wa Kiafrika mumoja amenifasiriya wimbo wa Kiafrika kwa maneno yake mwenyewe. Ameniambia ivi : kama ilivyo kwenye mpira wa miguu, muziki wa kiafrika, ni ivyo ivyo; kuna washambuliaji na wanaotetea watetezi. Kwa kweli, kihasili ya wimbo wakiafrika uamka/uchocheya na mara chache humelala/huwekwa nyuma.

Mwanamuziki mwingine wa Kiafrika ameniambia kuwa kucheza katika muziki wa kiafrika yategemeya shindo ile kuu katika muziki. Ndiyo, nimehakikisha na kusema kama ni kweli ile ambao wanamuziki hawa wawili waliniambia.

Hadi wakiti ujao nitapopakia chapisho la mwisho kwenye ‘wakati mila ya muziki wa Kiafrika na wa India zinakutana’, furahiya uimbaji ‘polyphonic’ ya kiafrika kwenye king hapa chini.

Endelea kutembelea blog hii juu uelewe miradi mingine nitakayokuwa nikifanya katika siku zijazo.

Nitapakua ujumbe zaidi hapa; nyimbo ninaandika; maonyesho ambayo ninafanya na masomo ya jumla yanayohusiana na taaluma yangu.

Hivi karibuni nitaweza kutoa huduma zangu za kawaida na zingine mpya piya mdondoni. Ada inategemeya Viwango vya Muungano Wanamuziki.

Huduma ninazotoa sasa ni :

Warsha za kuimba za Kiafrika

Mafunzo katika utumiaji wa mila ya muziki ya Kiafrika kama mbinu ya kuunda vipande vya maingiliano na maonyesho

Vipindi vya uboreshaji na mimi karibu na uimbaji wa Kiafrika, uandishi wa nyimbo na uimbaji wa polyphonic / maonyesho.

Kwa habari zaidi juu ya huduma hizi au maoni, tuma barua pepe kupitia ukurasa wa mawasiliano, email. sremmanuela@googlemail.com wala piga 07868591070

Hadi wiki ijayo, tafadhali jiandikishe kwenye blogi hii (KWENYE HOME PAGE, CHINI); nifuate kwenye Twitter (Emmanuela Yogolelo Wala @emmayogol1); likes, gabuwa, amabiya marafiki kuusu hii blog na uacha maoni yenye kujenga.

Asante.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *